Sera ya Faragha
Tunajali faragha yako. Sera hii inaelezea jinsi tunavyokusanya na kulinda taarifa
zako unapoutumia mfumo wa Pata Yote.

Tunakusanya taarifa zifua zifuatazo kutoka kwa watumiaji:
  • Jina
  • Anwani ya barua pepe
  • Anwani ya IP
  • Taarifa nyinginezo zinazotolewa kwa hiari wakati wa kuweka tangazo

Ikiwa una maswali au malalamiko yoyote
kuhusu sera hizi, tafadhali wasiliana nasi.
img